JSON Variables


Mtangazaji wa Clouds FM, EPHRAIM KIBONDE amefariki dunia, huku chanzo kikisemekana kuwa alikuwa akisumbuliwa na PRESHA tangu alipokuwa kwenye mazishi ya RUGE MUTAHABA mkoani Bukoba. EPHRAIM KIBONDE amefariki dunia akiwa mkoani MWANZA.
Previous Post Next Post