DOWNLOAD AUDIO PENDAEL HAGAI ni msanii wa nyimbo za injili akifanya vyema katika kulitangaza neno la MUNGU. PENDAEL HAGAI sasa amekuja na wimbo inayojulikana kwa jina la NENO MOJA, Pakua sasa na kusikiliza wimbo huu Lakini pia usisahau kumsupport ili aweze kufika mbali katika kazi ya kulitangaza neno la MUNGU ili Kuwafikia watu wengi zaidi. KWA MIALIKO, MAONI, USHAURI au KUMSUPPORT, WASILIANA NAE KUPITIA 0654 806 304