PENDAEL HAGAI ni msanii wa nyimbo za injili akifanya vyema katika kulitangaza neno la MUNGU.
PENDAEL HAGAI sasa amekuja
na wimbo inayojulikana
kwa jina la NENO MOJA,
Pakua sasa na kusikiliza wimbo huu
Lakini pia usisahau kumsupport ili
aweze kufika mbali katika kazi
ya kulitangaza neno la MUNGU ili
Kuwafikia watu wengi zaidi.
KWA MIALIKO, MAONI, USHAURI au KUMSUPPORT, WASILIANA NAE
KUPITIA 0654 806 304
Social Plugin