Kutokana na uamuzi wa Aliyekuwa Waziri mkuu wa TANZANIA, Mh. EDWARD LOWASA, Kurudi katika chama chake cha zamani Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baada ya kujiunga na chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELEO mwaka 2015.
Mh. Profesa IBRAHIM LIPUMBA Amesema ni dhahiri kwamba LOWASA,
Alihamia CHADEMA kwa maslahi yake binafsi, na hata angepata URAIS asingeweza kupambana na Rushwa pia Ufisadi
Angalia zaidi hapa......
Social Plugin