JSON Variables



Amber Lulu Ft. Mr T Touch - Vunga | DOWNLOAD VIDEO mp4


Msanii mkali wa kike anayejulikana kwa jina la AMBER LULU ametoa video ya wimbo wake wa VUNGA akimshirikisha producer na mwimbaji kutoka BONGO Tanzania, MR. T TOUCH. Wimbo huo ambao alitoa audio mwezi wa sita mwishoni mwaka huu wa 2019, Video yake ikiwa imeshutiwa na director mkali hapa tz, JOWZEE huku ikiwa imeandaliwa na Producer T TOUCH katika studio za TOUCHEZ SOUND. AMBER LULU pia amewahi kutamba na vibao kama, YANAMIMINIKA akimshirikisha MARIOO
na MAKEKE akimshirikisha PREZZO.

Pakua AUDIO ya m
Wimbo huu 

Amber Lulu Ft. Mr T Touch - Vunga | DOWNLOAD AUDIO mp3


Previous Post Next Post