JSON Variables


AUDIO | Killy Ft Alikiba - Gubu | DOWNLOAD mp3
https://hearthis.at/djmwanga/killy-ft-alikiba-gubu/download/

KILLY ambaye pia amewahi kutamba na kibao cha RUDI amekuja na hii AUDIO mpya akiwa amemshirikisha mwanamuziki maarufu na mkongwe ALIKIBA (King Kiba) kutoka katika lebo ya KINGS MUSIC.
Pakua AUDIO kupitia kiungo hapo juu.


Alikiba pia anajulikana kwa kutamba na vibao kama AJE, MWANA, SEDUCE ME na MBIO. Alikiba ni mmoja wa wasanii wa Bingo Fleva waliojenga heshima ya muziki wa TANZANIA huku akijijengea sifa ya kuwa na mashabiki wengi TANZANIA na nje ya Tanzania.
Alikiba hakuishia hapo, aliamua pia kuanzisha lebo ya muziki ya KINGS MUSIC yenye Wasanii kama ABDUKIBA, K-2GA na CHEED huku wakifanikiwa kutoa vibao vilivyotamba kama RHUMBA na TOTO.

Post a Comment

Previous Post Next Post