Msanii Miziki Kutoka pande za Nigeria, Patoranking aliyewahi kutamba na vibao Kama My Woman Ft Wande Coal, Love You Die Ft Diamond Platnumz, No Kissing Baby Ft Sarkodie na vingine vingi, Msanii huyo amefunguka na kusema kuwa anamkubali sana msanii mpya aliyeko chini ya lebo ya Muziki ya WCB anayefahamika kwa jina Zuchu ambaye ametamba na vibao Kama Wana, Kwaru, Nisamehe na vingine vingi.
Patoranking Aliyasema hayo wakati akifanya mahojiano na kipindi Cha XXL cha Clouds Fm August 4, yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (Online Interview).
Tazama Full Interview hapa chini.
(Video source CLOUDS MEDIA YouTube channel)
0 Comments