Vanessa Mdee - Moyo | DOWNLOAD AUDIO mp3
Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri, ndani na nje ya Tanzania na Africa kwa ujumla, VANESSA MDEE a.k.a V-MONEY akiwa amekuja na kibao kipya kwa jina la MOYO. VANESSA MDEE pia ameshawahi kutamba na vibao kama DUASI, KISELA akimshikisha Mr P kutoka Nigeria na BAMBINO.
RELATED SEARCH
RELATED POSTS
Social Plugin