Dogo janja (JANJARO) - kishada | DOWNLOAD AUDIO mp3
Msanii wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya MMB(Manzese Music Baby), DOGO JANJA a.k.a JANJARO amekuja na wimbo mpya unaojulikana kwa jina la KISHADA. DOGO JANJA PIA anasifika kwa nyimbo kama UKIVAAJE, MY LIFE, WAYU WAYU na KIDEBE.
RELATED POSTS
Social Plugin