Wawa Salegy Ft Diamond Platnumz (Simba) - Moto | DOWNLOAD VIDEO mp4
Mkali wa muzuki kutoka MADAGASCAR, WAWA SALEGY ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao MOTO huku ndani ya wimbo huu akiwa amemshirikisha mkali wa muzuki wa BONGO FLEVA, DIAMOND PLATNUMZ a.k.a SIMBA kutoka lebo ya muzuki ya WCB (WASAFI)
Pakua AUDIO ya wimbo huu hapa
Wawa Salegy Ft Diamond Platnumz (Simba) - Moto | DOWNLOAD AUDIO mp3
Social Plugin