Rayvanny (VANNYBOY) Ft Diamond Platnumz - Vumbi | DOWNLOAD AUDIO mp3
Ni mmoja kati ya wasanii wakali Africa kutoka BONGO(TANZANIA), RAYVANNY a.k.a VANNYBOY kutoka katika lebo ya muziki inayofanya vizuri Africa kutokea TANZANIA, WCB(WASAFI) ambayo inaongozwa na msanii DIAMOND PLATNUMZ a.k.a SIMBA. RAYVANNY kwa sasa amekuja na kibao kipya kwa jina la VUMBI. akiwa amemshirikisha DIAMOND PLATNUMZ, Ambaye pia alimshirikisha katika ngoma yake Kwa jina la TETEMA iliyovunja rekodi na kumpeleka RAYVANNY kimataifa. RAYVANNY pia anajulikana kwa kutoa ngoma zilizofanya vizuri kama POCHI NENE, KWETU, na ZEZETA.
RELATED SEARCHES
RELATED POSTS
Social Plugin