Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Responsive Advertisement

Rick Ross Ft Drake - Gold Roses | DOWNLOAD AUDIO mp3



Rick Ross Ft Drake - Gold Roses | DOWNLOAD AUDIO mp3


Msanii kutoka MAREKANI, RICK ROSS ameachia ngoma ikijulikana kwa jina la GOLD ROSES akiwa amemshirikisha DRAKE ambaye pia ni msanii wa kimarekani. RICK ROSS pia amewahi kutamba na vibao kama SORRY akimshirikisha CHRIS BROWN na GREEN GUCCI SUIT akimshirikisha THE FUTURE.
Pia amewahi kushirikishwa na wasanii kutoka AFRICA kwenye nyimbo kama OH MY GOSH (Remix) yake YEMI ALADE kutoka NIGERIA, BEAUTIFUL OYINYE (Remix) Ya kundi la P SQUARE Kutoka NIGERIA na WAKA WAKA ya DIAMOND PLATNUMZ kutoka TANZANIA.


Like, Follow, find us on