Pakua hii Kutoka kwa Shilole a.k.a Shishi baby ngoma Mpya yenye Jina VIUNO akimshirikisha G Nako Kutoka kundi la Weusi.
Shilole pia amewahi kutamba na ngoma Kama, Pindua Meza, Ukintekenya ft Aslay na Say My Name ft Barnaba Classic.
AUDIO | Shilole Ft G Nako - Viuno | DOWNLOAD mp3
0 Comments